SAMEHE NA KUSAHAU ILI UONE UFALME WA MUNGU

 JIFUNZE KUSAMEHE NA KUSAHAU HATA KAMA UMEUMIZWA,,, waebrania 12:14,, Nini maana ya KUSAMEHE- Ni ile hali mtu kuachilia hata Kama kaumizwa

KUSAHAU - Ni ile hali ya mtu kufuta moyoni mwake na akilini mwake Yale mabaya aliyofanyiwa 

NOTE: HUWEZI KUSAMEHE BILA KUSAHAU NA HUWEZI KUSAHAU BILA KUSAMEHE waebrania 8:12 ( ukiona umemsamehe mtu alafu alivyorudia kukukosea ukaja kumkumbusha yote ujue ulikua ujamsamehe Bali ulikua mnafiki Soma biblia yako vizuriii)

     FAIDA ZA MTU KUSAMEHE NA KUSAHAU:

  1. Yesu akija unaondoka nae Ila ujue kabsa usipo samehe na kusahau Yesu akija hamjuani lazima akuache waebrania 12:14

  2. Maombi yako hayatajibiwa hata siku moja Kama hutasamehe waliokukosea mathayo 6:12  

   3. Roho mtakatifu hawezi kukaa ndani yako na kukufundisha maana kutokusamehe Ni dhambi 1yohana 3:8,3:4.....

 KAMA UNATAMANI YESU AKIJA ASIKUACHE SAMEHE HATA KAMA UMEUMIZWA ,,,, LKN PIAH KUSAMEHE NI NJIA MOJAWAPO YA KUEPUKA MAGONJWA KAMA PRESSURE,, NK MUNGU AKUBARIK Na mwl. Timothy

No comments

Powered by Blogger.